Producer Lamar baada ya kumaliza matengenezo ya studio yake ya Fish Crab iliyochukuwa takribani mwezi mmoja na nusu. Mtu mzima ametoa ofa ya kurekodi kwa nusu bei kwa mda wa wiki moja tu. Lamar amesema anachukua nyimbo 5 tu so kama wewe unajua ni mkali na haujatoka basi nenda pale maeneo ya Kariakoo nyuma [...]